A Liberal party and a Third major party in Tanzania. The most prominent and the majority party in Zanzibar as per the 25th October 2015 General Elections.
2/2 Kwa hiyo, Tangazo lililotolewa hapo awali na Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, kuwa nafasi tatu za udiwani jijini Tanga ziko wazi, limebatilishwa na Mahakama Kuu leo hii na hii ina maana wananchi wa Tanga hawatarudi kwenye uchaguzi wa kata zingine kwa sababu ya uhuni wa WASALITI.
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri ya kusitisha UHUNI wa Lipumba na Sakaya wa kuwafukuza uanachama madiwani watatu wa @CUFTanzania jijini Tanga. Mahakama imeamuru madiwani hao waendelee na udiwani na uanachama wao hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa. Uamuzi umetolewa leo.
4/4 - Taarifa hii ni kwa mujibu wa Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari Taifa Mhe. Mbarala Maharagande kutokana na maamuzi ya Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Taifa iliyoongozwa na Katibu Mkuu Seif Sharif Hamad jana jijini DSM.
3/4 - Katika kata 79 zilizotangazwa, @thecivicunitedfront ilipoteza Kata 4 ilizokuwa inaziongoza kwa Madiwani wake kuhamia CCM, Kata hizo mbili zipo Manispaa ya Tanga Mjini na Kata moja Mtwara Vijijini na Diwani mmoja kufariki wilayani Kwimba.
2/4 - kutokana na Mgogoro uliopandikizwa ndani ya CUF na Lipumba na washirika wake. Chama kinaona ni busara kwa sasa kuelekeza nguvu na rasilimali zake chache zilizopo katika kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro huo uliopandikizwa. Katika kata 79 zilizotangazwa,
1/4 - @CUFTanzania haitashiriki katika uchaguzi mdogo wa marudio katika Kata 79 na Majimbo mawili uliopangwa kufanyika nchini kote Agosti 12, 2018 Sababu kuu ya kutoshiriki Uchaguzi ni kutokana na mkanganyiko wa uongozi katika usimamizi wa uchaguzi huo uliojitokeza kutokana
Pushing #Zanzibar into submission, or impose a unilateral political order from the mighty side, thinking that that is the only way forward to propagate this failing model of the Union, will only add to more grievances and rallying calls by Zanzibaris for Change. #TimetoWakeUp!
Njia pekee ya kuimarisha Muungano ni kuheshimu msingi wake wakati unaundwa ambao ni usawa & mamlaka ya nchi washirika (equality & sovereignty of the states) katika Sheria za Kimataifa (International Law) bila kujali ukubwa/udogo wa nchi (geography) au idadi ya watu (demography).
"We know that this government will be run by the people, for the people and in accordance with the wishes of the people. In this way there is no doubt the government will have a bright future, and will improve the conditions and bring all that is good."
- President Karume, 1964
Umuhimu wa #UtawalawaSheria: Ujumbe mzito kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Barnabas Samatta kwenda kwa Rais Magufuli alioutoa katika kikao cha viongozi wakuu wastaafu.
“Amani ni Tunda la Haki, kama kutakuwa na Haki, hakuna matatizo na Amani, Amani itakuwepo tu. Lakini kama Haki ikitetereka kidogo hapo tutakuwa na wasiwasi wa Amani”
- Ujumbe wa Jaji Mkuu Mstaafu Agustino Ramadhani kwenye kikao cha Rais Magufuli na viongozi wakuu wastaafu.
Almost all citizens are aware of three major political parties in Tanzania, namely CCM (100%), CHADEMA (97%) and CUF (83%). #SautiZaWananchi#DemokrasiaYetu
2/2 - @CUFTanzania haiungimkono utumiaji huu wa kanuni ambao unawalazimisha wabunge kufikiria yale yanayohitajiwa na dola, Bunge limejigeuza kuwa idara ya serikali na linaongoza kwa kudhibiti uhuru wa wabunge kutoa maoni yanayotakiwa kikatiba, hali hii haikubaliki hata kidogo.
1/2 - Ndani ya siku tatu, wabunge 3 wa @CUFTanzania wametolewa bungeni kwa nyakati mbalimbali, Chama chetu kimejiridhisha kuwa wabunge hao wamepewa adhabu hiyo isiyokubalika kwa sababu ya kutoa maoni yao. Tunasikitishwa sana na tabia endelevu ya utumiaji mbaya wa kanuni za bunge.
Spika Job Ndugai amemtoa katika ukumbi wa Bunge, Mbunge wa jimbo la Mchinga (@CUFTanzania Mhe.Hamidu Bobali akidaiwa kutoheshimu kiti cha Spika, Bobali ametakiwa kutohudhuria hadi mkutano ujao wa Bunge #MwananchiUpdates https://t.co/G7JRZavOOG. @CUFTanzania inalaani uamuzi huo.
2/ Amekuwa mbunge wa pili kutolewa ukumbini baada ya Mbunge wa Kulwa Kusini, Selaman Bungara (CUF) kukumbana na rungu hilo la Kiti cha Spika asubuhi, akidai fedha hizo hizo za Bodi ya Korosho.
#NipasheMwangaWaJamii