Leo nimeona branding iliyofanyika kwenye Bus la Simba SC (Irizar) na lile Bus la Jayrutty ni Kiboko, Kama kuna kitu natamani nikuwaona Simba SC wakibeba Ubingwa halafu kwenye Parade lao Hizo Bus mbili ziongozane.
Irizar la Simba SC limeshafanyiwa branding bado kukabidhi tu.
Mkiwa mnakunywa na watoto wa kishua na unaanza kuona ugomvi utatokea wewe jiondoe mapema,
ila hakikisha umepitia supermarket nunua hata maji ili upewe risiti
na ukiweza gombana na anaeuza ili akukumbuke ulipita hapo
Hivyo vitakusaidia sana ukiwa unaeleza hukuwepo kwenye tukio
Jamaa ananishauri, Kalage ingia kwenye hii Biashara ni nzuri
Nikamwambia sawa, Mtaji kama shilingi ngapi
Ananiambia kama 25m tu
Imebidi nimgeukia nimuangalie usoni maana nilikuwa naangalia barabarani
Wapenzi hawa wamepanda kwa namna ya ajabu mpaka kwenye kilele cha juu cha jengo la Empire State huko New York kisha mwanaume akamvika binti pete ya uchumba. Jengo hilo lina ghorofa 102 na urefu wa takribani viwanja 4 vya football. Polisi wamewakamata kuwahoji jinsi walivyopanda.
Kwenye Psychology kuna kitu kinaitwa "Premature Victory"
Hii kitu inasababisha ubongo ku relax,kupoteza focus,over confidence, careless mistakes,na kupuuza dalili mbaya.
Hii uwa downfall kwenye michezo, biashara,mahusiano hata personal struggles
Hapa shetani uwa anasingiziwa sana
🚨 | REKODI CRISTIANO RONALDO! 🇵🇹
Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji mwenye umri mkubwa zaidi kufunga katika historia ya Michuano ya Kombe Dunia akiwa na miaka 41
👉🏽 Pia hii ni goli lake la kwanza kabisa kufunga katika hatua za mtoano za World Cup.
🚨Let’s Talk about Dube-Yanga situation
Yanga hawakuwa na mpango wa kuachana na Dube Price, mchakato wa kumwongeza mkataba ulikuwa umeanza miezi kadhaa nyuma
Limekuwa jambo la ghafla, Dube amefikia maamuzi baada ya mechi ya mwisho ya Ligi
✅Yanga wako sokoni #EmuTuone📌
🚨 UPDATE - Pamba Jiji Fc 🇹🇿 imefikia makubaliano ya kumsajili Golikipa Steve Ochieng kutoka Shabana Fc ya Kenya 🇰🇪
Steve alishinda tuzo ya Golikipa Bora wa Ligi ya Kenya 2025-26 akiwa na Clean Sheets 1️⃣5️⃣
Depu, alipokuwa anasherehekea ubingwa wa Yanga, alimpigia video call aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Pedro Gonçalves, wakafurahia mafanikio hayo pamoja.
Kweli janja aliletwa na huyu jamaa. Aliyemleta akaondoka, lakini aliyeletwa ndiye amebaki. 😂😂