Bado dakika 90 nyingine nchini Moroko 🇲🇦 Mohammed V🏟️,kitapigwa pale tena Jumapili,,ili kumpata bingwa 🏆 wa ligi mabingwa barani Afrika msimu huu 2022/23 .tunazisubiri kwa hamu .
#NBCPL Mechi imemalizika ikiwa imechezwa kwa dakika 18 baada ya wachezaji wawili wa Kitayosce kuumia na kusalia na wachezaji sita pekee ambao kikanuni hawaruhusiwi kuendelea na mchezo.
18’: Azam 4-0 Kitayosce (Feitoto 3', 9', 13', Dube 5'). Hat Trick ya mapema zaidi ⚽⚽⚽
Chama hilo,, soon tu taarifa zake zitatoka ,kumbukumbu nzuri tumeshacheza mchezo mmoja wa kirafiki vs Kaigo City ya Kigonsera na kutoa sare 2 kwa 2.⚽⚽❤️
Mabeki ghali zaidi katika ada zao za uhamisho
1️⃣🏴 Maguire: £80M
2️⃣🇭�� Gvardiol: £77M
3️⃣🇳🇱 Van Dijk: £75M
4️⃣🇫🇷 Fofana: £70M
5️⃣🇫🇷 L. Hernandez: £68M
6️⃣🇳🇱 De Ligt: £67.8M (Juve)
7️⃣🇵🇹 Dias: £65M
8️⃣🇳🇱 De Ligt: £62M (Bayern)
9️⃣🇲🇦 Hakimi: £60M
Maguire bado anatawala!
Pochettino juu ya kuongeza mshambuliaji mmoja zaidi: 🗣️"Tutaona. Tunahitaji kuwa tayari… [ikiwa tunahitaji zaidi au la” 🔵 #CFC
"Au labda tunaenda kwa pre-season na tunagundua kuwa tunahitaji kuimarika katika nafasi tofauti au kuongeza wachezaji zaidi ambao wanaweza kufunga",
Klabu ya Liverpool imefikia makubaliano na kiungo wa Brighton Alexis Mac Allister (24) 🇦🇷 kwa mkataba utakaofanya aitumikie Liverpool hadi mwaka 2028.
✅ Liverpool watalipa dau lisilozidi £60m ambacho ndicho kiasi kilichopo kwenye mkataba wa nyota huyo na Brighton kama atataka
.
Rasmi Karim Benzema ameondoka ndani ya Real Madrid baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka 14
✍🏻Benzema
✍🏻Asensio
✍🏻Hazard
✍🏻Mariano Diaz
Wachezaji ambao hawatokuwa katika kikosi cha Real Madrid msimu ujao
NINI KIFUATACHO KWA BENZEMA ?? Atabaki Ulaya tena
Chelsea wamejiweka kando...
Chelsea wamejiondoa kwenye mbio za kutaka kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon na Uruguay, Manuel Ugarte.
Paris Saint-Germain wapo kwenye mchakato wa kumsajili kiungo huyo baada ya kutoa ofa kubwa zaidi kuliko ya Chelsea.
Chanzo: The Guardian
Sergio Ramos(37) na Lionel Messi(35) wanaondoka mabingwa wa Ligue 1 mwishoni mwa msimu huu, huku PSG wakinyanyua taji lao la 8 la Ligue 1 ndani ya miaka 10 🏆
Pep Guardiola kuhusu Casemiro:
🗣️“Simfahamu kibinafsi, lakini alipokuwa Madrid nilikuwa nafahamu kuhusu uwezo wake awapo uwanjani. Nilikuwa na uhakika kwamba asingekuja hapa (England) kwa ajili ya kumalizia miaka ya mwisho ya kazi yake bali alikuja kuipambana timu yake.”
Leao kitanzini...
Winga wa AC Milan Rafael Leão amesaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo hadi Juni 2028.
Katika mkataba huo mpya kumewekwa kifungu chenye thamani ya euro milioni 175 kwa klabu yoyote itakayohitaji saini yake.
Luton Town itakuwa timu ya 51 kucheza Ligi ya England baada ya kuifunga Coventry kwa mikwaju ya penalti katika fainali ya Mchujo wa Ubingwa 🆙 huku wakiandika historia yao.
Walikuwa wakicheza katika daraja la tano la soka la Uingereza miaka tisa iliyopita.
Klabu ya Union Berlin watashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao 2023 /24 kwa mara ya kwanza katika historia yao, walipandi kushiriki Bundesliga mnamo 2019 🌟
Mabingwa wa Bundesliga Bayern Munich wamewafuta kazi Mkurugenzi Mtendaji Oliver Kahn na mkurugenzi wa michezo Hasan Salihamidžić, kulingana na ripoti nyingi.
Wataanza Ligi na rungu la alama nane.
Baada ya msimu huu kushuka daraja kutoka Championship hadi League One, klabu ya Wigan Athletic itaanza msimu ujao (League One) kwa kukatwa pointi 8 kutokana na kutolipa mishahara ya wafanyakazi na wachezaji.
Yani pointi nane za kwanza zit
Pep Guardiola:
🗣️“Nina wazo kubwa kuhusu kikosi kitakachoanza dhidi ya Manchester United kwenye fainali ya Kombe la FA Cup na wazo kubwa kuhusu kikosi kitakachoanza dhidi ya Inter Milan kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.”
Ubaguzi wa rangi dhidi ya Vinicius Jr ?
Pep Guardiola:
🗣️“Ubaguzi wa rangi upo kila mahali, lazima tuishi na watu kiutu na kimaadili, lakini kwa bahati mbaya tuko mbali sana na hilo kwa sasa. Natumai kuwa hali ndani ya Hispania itaimarika, lakini sina matumaini.”