@moodewji@SimbaSCTanzania Tajiri fanya vitendo acha maneno mengi tumekutetea sana miaka mitano ni maneno yale yale punguza kuongea onyesha vitendo toa hela nunua wachezaji
@moodewji@SimbaSCTanzania Tahiri Mo wanasimba tunechoka na maneno matupu ya kila mwaka zama zimebadirika jitafakari boss timu inaendeshwa kwa siasa hakuna usajili wa maana unaoufanya ni ujanja ujanja unafanya