Huwezi amini lakini ndio ukweli
Mwaka huu walio omba kazi ya ukarani wa sensa ni mabachela watupu
Kazi kwenu haiwezekani upite kaya zote ukose mke
Utakuwa shumizi ๐คฃโ๏ธโ๏ธ
I just invited home huyu binti wa kisabato yaani pombe hanywi,Coca-Cola hanywi,chai hanywi kanisani kwao hawaruhusu majani ya chai,hapa ananipigia story za Anania na Safira na kwa Subwofer โKwetu Pazuriโ is on repeat ๐
Mwanaume kama unafanya haya kwa demu wako kumsomesha, kumpa hela ya kusukia, kumpa hela ya lotion, na unamlipia kodi huna utofauti na mzazi yaani kwa kifupi wewe ni mzazi mwenzetu..
Kuomba mabaya kwa mtu mwingine haitakufanya kuchukua mafanikio yake na vyote alivyonavyo,mwisho wa siku ni kujiongezea mzigo wa hofu na mashaka huku ukistawisha roho ya ubaya ndani yako.
Kuna vile vitoto vinatoka mbeya, iringa na njombe
Vikifika mikoani vinaanza kututisha kuna baridi kwao kisa hawataki tuende tu ๐ค๐๐๐ sis hatutamaliza hao mbwa bn
Any way safari njema kaka
#elly
A. K. A baba T