Suraatul Baqaar (2:154-157)
•Wala msiseme kwa wanaouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa wamekufa; bali wao ni hai, lakini nyinyi hamtambui.”
•Na hakika tutakujaribuni kwa kitu katika hofu na njaa na upungufu wa mali na nafsi na mazao. Na wape habari njema wenye subira.”
•Ambao wanapopatwa na msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake Yeye tutarejea.”
•Hao ndio waliopata rehema na baraka kutoka kwa Mola wao, na hao ndio walioongoka.”
Mtakatifu Yuda Thadei wa Galiilaya anajulikana ulimwenguni kote kama Mtakatifu wa mambo yaliyoshindikana, yasiyo na matumaini, na kesi ngumu sana. Waamini hukimbilia kwake pale ambapo nguvu za kibinadamu zimefika mwisho na hakuna njia nyingine inayoonekana.
Tundu Lissu will be free 💪🏽 sooner than later 💯
Mark this post!
Yaani madhulmat wanahaha lakini wapi!
No weapon formed against him shall prosper 🙏🏽
Mungu aendelee kujidhihirisha katika maisha yake - tuseme AMEN!
#FreeTunduLissu
Bunge la UJERUMANI likijadili ukatili unaoendelea Tanzanzia.
Dikteta JIKE hizi kauli zako za kishujaa kila siku usiziache-endelea kufunguka yote unayotufanyia watanzania.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
"Siku si nyingi, mustakabali wa Tanzania utapambwa na alfajiri mpya ya utawala wa sheria na misingi thabiti ya kidemokrasia. Huu utakuwa wakati wa kishindo kwa wadau wote wanaopigania haki za kiraia na usawa katika jamii."
Mhe @TunduALissu amefikishwa siku 393 akiwa Gerezani.
Makosa ya yake ni;
1. Kupigania mifumo mzuri ya uchaguzi
2. Kupigania haki za watanzania
3. Kutaka mabadiliko ya kikatiba
4. Kupigania rasilimali za Nchi yake.
#FREETUNDULISSU#LISSUSIOMHAINI
Gusa unuke!
Hamkuamini kuwa kumkamata Tundu Lissu inaweza kuja na consequences kubwa - sasa mmekwama mmechafuka na mnanuka dunia nzima!
Mnajua you have no choice! #FreeTunduLissu
Kwanza pole IGP Wambura
Ni muda sasa tumepewa taarifa kuwa unaumwa sana! Mi nakupa pole ila nakukumbusha kuwa sababu ya huyu mama kugoma kukubali upumzike ni kwamba anataka mambo yakishafika shingoni akudondoshee jumba bovu akijua huna muda mrefu
Sasa we hakikisha ule ushahidi wa kupokea amri unahifadhi vizuri zaidi
Ndo pona yako!
Eniwei #TutaelewanaTu
"Huwezi kubatiza madai ya mabadiliko ya sheria kuwa ni uhaini. @TunduALissu anatekeleza wajibu wake wa kizalendo kulinda demokrasia yetu. Kila dakika anayokaa gerezani ni doa kwa mfumo wetu wa haki. Mfungueni mara moja!
#FreeTunduLissu#JusticeForLissu"