Hakikisha unatembea mwenyewe hata kwa hiyo miguu yako iliyovunjika, hakikisha
unasonga mbele na huachi alama ya mikono yako kwenye bega la Mtu yoyote, hakikisha unaona mbele kwenye hilo giza bila kutumia tochi zao, moyo wako ubebe imani na mwili wako ujae na Ujasiri
KEEP GOING
RUKA kama utashindwa KURUKA, KIMBIA kama unashindwa KUKIMBIA, TEMBEA kama utashindwa KUTEMBEA TAMBA make sure kuna mwendo
KEEP GOING
#BILAKUCHOK#BEGOOD#SEEYOUTOTHETOP
Maisha ni mfululizo wa matatizo. Kila unapotatua moja, lingine, linasubiri kutokea. Si yote makubwa, lakini yote yana maana. Kwa Mungu katika kukuza tabia yako.