Watu wasiojulikana wamechoma moto Showroom ya MAGARI ya Abdul mtoto wa Samia usiku wa kuamkia leo mikocheni Dar es salaam.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema magari yote ya kifahari yaliyokuwa hapo yameteketea kwa Moto.
Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola. TUHUMA: Kufadhili kikundi kiitwacho "Tanganyika Freedom Fighters (TFF)."
Muda wowote kuanzia sasa atapelekwa Dodoma. Msaidieni
Simba na Yanga ni utani sio uadui, mbona mimi nawasaidizi wakaribu ambao wanashabikia Yanga siwa bagui? Acheni kutukanana. Mbona siwa bagui wanafunzi ambao ninawasomesha? Je nawauliza wewe ni Simba au Yanga? MoXtra 😆