@Sativa255@capitanpapilon NISAIDIENI KAZI WAKUU
Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI ๐
SIKIA MKUU MAMBO YASIWE MENGI
๐ค Kama una mahusiano huyaeleweki
๐ค Kama una madeni kila kona, kama unahisi kuna plan mbaya juu yako na unataka kuijua
CHEZA NA HIZI CODE HAPA.
๐งตFUNGUA UZI MFUPI ๐๐ฟ
Hii ajali imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya Same apo ikihusisha basi la Kampuni ya Tahmeed na Land Cruiser hiyo, Poleni sana.
Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika.
Kampuni ya Elon Musk imeanza kuajiri phase one kwa ajili ya barabara za Tesla na nyinginezo pia za underground in ๐Dubai wakishirikiana RTA ๏ฟฝ๏ฟฝ๐ช
Kazi zipo kwenye website yao https://t.co/9IunCZSvEe