"Tulipoingia Bungeni mwaka 2015, hii barabara ya Old Bagamoyo ilikuwa inajengwa miaka sita baadae wanaibomoa wanaweka mwendokasi. Yaani hawakuwa na mawazo tu kwamba hapa tutakuja kuweka mwendokasi, waweke kipindi hicho, mabilioni ya fedha yamewekwa hapa na leo wanayateketeza."
.... Cha kwanza kinachoanza ni plan (mpango), hawa watu hawana mipango, hawana maono, hawana uelewa- kwahiyo kila kitu wanachokifanya ni zimamoto na ndio maana barabara inajengwa leo kesho ina matundu. Mimi nimeenda Ujerumani nakuta barabara ya mwaka 1890 haijawaji kubomoka ila hapa kwetu tuna matatizo lukuki, hata nikikuuliza wewe ni kipi CCM wameweza, utaniambia nini kimoja.?"
"CCM na mfumo wake ni total failure, ni disaster kwa nchi hii na kuwaacha kuendelea kuongoza hata kwa nusu saa ijayo ni kuendelea kuumiza Nchi hii. Hakuna ambacho wamefaulu, si maji, si umeme, si barabara, basi walau wangekuwa na kimoja walichofanikiwa lakini hata amani mnayosema kwamba wamefanikiwa kuilinda mimi niwaambie kuwa Nchi hii haina amani, amani hailindwi na mtutu wa bunduki, amani inajilinda yenyewe." - John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara) akihojiwa na redio BongoFm.
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTZ2 Bara, John Heche @HecheJohn , amekishambulia vikali chama tawala cha CCM akikituhumu kwa kulea na kufuga lugha za kibaguzi zinazotolewa na baadhi ya mawaziri wa Zanzibar dhidi ya Watanzania wa Bara.
Akizungumza kupitia Kituo cha Redio cha Nuru FM mkoani Iringa leo Jumamosi, Juni 13, 2026, Heche amezitaja kauli za hivi karibuni za Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum, na Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Hassan Khamis Hafidh, kama matusi yanayohatarisha ustawi wa nchi, huku akisisitiza kuwa suluhu pekee ya kukomesha "uchafu" huo ni kuwepo kwa mfumo wa Serikali Tatu.
Heche amemnyooshea kidole Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kukaa kimya mbele ya kauli hizo, akidai kuwa kama maneno hayo yasingetoka kwenye vinywa vya viongozi wa CCM bali yangesemwa na mwanachama wa CHADEMA, chama hicho kingekuwa kimeshalimwa barua haraka sana.
@MahamudMgunda@mwananchidr Hzi ndo akili za waislam weng ,mnaambiw someni elimu dunia pia hamuelew,ona sasa unavyoandika ujinga ,unaonekna bonge la kilaza hapa
#EnforcedDisappearance#Tanzania
This young man Titho Philemon was taken by men who identified as police @tanpol just before election in Kigoma and has not been found since at any police station!
This is another case out of the HUNDREDS that is happening under Samia Suluhu - vast net of crimes agai st humanity!
We need Justice. @SenateForeign@SFRCdems@WorldBankAfrica@IMFAfrica@EU_Commission@Europarl_EN
Titho Philemon alikamatwa Kigoma kabla ya uchaguzi! Hajujificha alikuwa anapinga uchaguzi haramu! Hadi leo hajulikani alipo na wazazi wamefika vituo vyote vya polisi .
Alikuwa mwanaCCM ila alishtuka mapema kuwa chama hiki ni ya hovyo alijitoa na alipinga bila woga! Wamemteka na hajulikani alipo! Huyu naye waseme alijiteka - mfyuu!
Waachilieni mateka wote na kama mmewaua rudisheni miili wazikwe!
#SamiaMustGo
Hili linchi lakisenge sana.
Kuna PARTY imeandaliwa Dar inaitwa “ARSENAL YA MAMA”.
Kwamba Arsenal bila mama yao kombe la EPL wasingebeba. UCHAWA kila kona mmeshindwa kujifunza hata KENYA waliaandaaje Party lao?
Huyu MAMAENU atakuja kuwatomba siku moja.
Wapendwa mmeona kuwa vikwazo Marekani vinanukia
Sasa kimyakimya nitumieni DM data za hawa wauaji kama wana nyumba, akaunti au mali yoyote Marekani tuwasaidie maseneta kazi!
Shughuli imempata mwenyewe 😁👊🏽
Kadri mnavyotushambulia na sisi tunapambana na tuko imara kuliko jana!
Nasema #TutaelewanaTu
. @tedcruz@SenatorShaheen@SenateForeign
While you are sanctioning the killers of Tanzania, please follow the money trail to Dubai.
Mos of the money Samia Suluhu, her son Abdul and their associates have stolen in Tanzania goes to the UAE through this bank ,CRDB.
Please INVESTIGATE CRDB bank and you will find all the BLOOD MONEY!!!!!! THIS BANK ITSELF NEEDS TO BE SANCTIONED. Please FREEZE ALL THEIR ASSETS AND THOSE OF THEIR RICH BUSINESS ASSOCIATES.
Samia Suluhu’ son, Abdul was gifted a UAE citizenship. Please follow the money through CRDB bank!!!!
I want to emphasize this. ALL ROADS LEAD TO DUBAI.
❤️💙 Crystal Palace had zero trophies in their history until beginning of 2025… now they have three.
🏆 FA Cup
🏆 Community Shield
🏆 Conference League
Insane job by coach Oliver Glasner and the club.
Nduli Idd Amin Mama na mwanae Abdul ile siku wametoa Report ya uwongo ya Jaji Chande walifanya mpaka sherehe ya kujipongeza Ikulu, wakasema sasa kazi kwishaaaa.
Wakiamini kwamba ile Report ya mchongo aliyowaandikia Kabudi, itawasaidia kuwasafisha Kimataifa.
Abdul alisikika mahali akisema kwamba ukimtanguliza mbele Mastermind Prof. Kabudi hakuna kitakacho haribika.😂😂😂
Kabla report haijatoka tuliwatahadharisha kwamba kama mnataka Jumuiya za Kimataifa ziwaelewe semeni ukweli wote msifiche kitu hata kimoja wala msipike Report maana Dunia yote inajua ukweli kuhusu mambo yote yaliyotokea Oktoba 29.
Nyie mkajiona wajanja, mkapika report na kusingizia watu mambo ya uwongo ili kukwepa uwajibikaji
Haya sasa kiko wapi si mlisema ukimtanguliza Kabudi mbele hakuna kunachoharibika, imekuaje tena mbona Dunia yote imewakataa.??
Ukisikia Moto umeungua, maji yamelowana ndo hii sasa.😂😂😂
Hawa wasenge wanalilia VISA kiasi hiki jiulize kuna nini huko Marekani?
Hawa wasenge mitoto yao inasoma huko na kula bata sisi tunapigwa risasi huku.
Hawa si wanatamba kila siku wanamiliki URANIUM?