Kama Mama tu amebariki hii VITA kisha Mzee naye akagongelea MSUMARI wa mwisho unataka Mke CHAWA akutetee, unataka kutetewa na KAHABA... Ngoja tuone ila hili Kuna ghalika kubwa mbele yake haponi mtu Msaliti juu ya hili.
Tupo wengi kwenye maisha yetu tumeingizwa JELA bila sisi kujua, tunaishi kwenye JELA za aina mbalimbali tena kwenye nchi ambayo tunahisi ni nchi yetu wenyewe. Kazi ni JELA, mahusiano ni JELA, kipato ni JELA hata ule uhuru tu ni JELA. Yote ni hawa marafiki zetu ndio chanzo.
Kila maoni ya wadau wa soka kuhusu vilabu vyetu vya Simba na Yanga kwenda kucheza robo fainali Ligi ya mabingwa Afrika yanapaswa kuheshimiwa, wapo wanaoamini inawezekana lakini pia wapo ambao hawaamini Katika hilo, lakini wote wapo sawa tusiwabeze
Ameondoka Professor ameingia Professor, anaitwa Miguel Gamond Kocha la ball, huyu Mwamba ni suala la muda naamini zitaanza kuzungumzwa lugha zingine hapa nimeogopa kuona game chache amekuja na Kasi ya ajabu yaani ameijenga timu ya ushindani, shika maneno yangu watu wa mpira
Baada ya Singida Fountain Gate kumaliza usajili wake bila ya uwepo wa jina la Benard Morrison BM3 unaweza kuniambia ni kwanini Morrison amekosa timu baada ya kuachwa na Yanga SC?
Semaji la Simba SC Ahmed Ally linakwambia, siyo rangi zote za njano ni mbaya ππππ rudia hapo kwenye rangi ya Njano kisha angalia hapo chini kwenye plate Number kisha soma zaidi uniambie nini umegundua π
Kuna vitu vingine ukivisikia unaishia kucheka tu pengine ni siasa za mpira wetu, yaani kwa YANGA hii inawezaje kuwa na mchezaji wa mkopo, Yanga iliyovuna mapesa kila kona inawezaje yaani, Mimi hua nasikiliza nawakumbusha maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako πππ
MPAKA SASA VILABU VINNE PEKEE NDIO VIMESAJILI ZA NGUVU TANZANIA
1. Yanga SC
2. Simba SC
3. Azam FC
4. Singida Fountain Gate
Swali langu, vilabu vingine vitagombea nini, kubaki Ligi kuu vizishuke au tunaishi kwa mazoea
Mengi yanazungumzwa baada ya Jefferson Luis mlinda mlango ambaye alisajiliwa na Simba SC siku chache zilizopita kuwa amepata maumivu ya paja na pengine akaachwa, yapi maoni yako kwa uongozi wafanye nini kuliwahi Dirisha la usajili la kimataifa kabla halijafungwa hapo kesho?
Aubin Kramo anasema kabla ya kujiunga na SIMBA SC zilikuja ofa nyingi mezani kwake haswa Kutoka Nchi za Uarabuni lakini pendekezo la kwanza ilikuwa kwa Mnyama hii kwasababu ameona vitu anavyojitaji vipo huko Simba na siyo vinginevyo kwaiyo watu wasubiri burudani zaidi
Tukubaliane kwa pamoja adui NAMBA moja kwenye mpira wetu ni sisi wenyewe wenye kuandika vitu vya hovyo, kwaza tumekosa huruma kwa hao watoa pesa zao ili kuusaidia mpira ukue, tukikaa tukikosa cha kuandika tunakuja kuzipopoa hizi timu zetu Kubwa, huru umepitiliza huu
Huu ni msimu ambao wakubwa wameamua kuingiza pesa zaidi katika biashara ya mpira, Yanga SC nao wameendelea kuboresha zaidi kikosi chao kwa macho ya Kawaida watu wanahisi Yanga hakuna kilichofanyika lakini nawapa tahadhari kuelekea msimu ujao wa mashindano
Kwa namna ambavyo watu wameondoka pale Yanga SC, ni wazi ni kama wanaanza upya, benchi la ufundi lote limeondoka na baadhi ya Wachezaji nyota nao wamejiondokea zao, yes ndivyo ilivyokuwa kwenye maisha ni popote unatafuta!!
"Chama ni mchezaji wa Simba na ana Mkataba na klabu yetu, muda mchache ataungana na wenzake nchini Uturuki"
- Imani Kajuna, Mtendaji Mkuu Simba SC βοΈ
"Thank you ya Mkude ilituuma sana, natamani akikutana na Simba SC awafunge kwani wamepoteza kitu kizuri",
"Mwanangu anasemwa vibaya mitandaoni lakini wengine hawaonekani sisi Wazazi hii inatuuma watu wasifanye hivyo"
- Mama yake Mzazi Jonas Mkude βοΈ
Wengi wanadhani tumeamua kuzindua jezi juu ya Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kujibu mapigo ya wale waliogawa Jezi Lilongwe
Simba Kwa miaka 6 sasa tumekua tukibeba bendera ya Utalii wa Nchi πΉπΏ kupitia Visit Tanzania
- Ahmed Ally, Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano Simba SC
Ndio wamesajili vizuri lakini nje ya uwanja wamejipangaje, viongozi wao wanazungumza lugha moja maana hizi timu zetu tunazijua wenyewe unaweza ukamleta mpaka Messi hapa lakini kama uongozi siyo imara ni sawa na bure, hata aje nani hawawezi kupata matokeo mazuri π
Siyo ya kufurahia hii hata kidogo tumeanza kujigawa makundi kwa makundi eti yule Yanga, huyu Simba daah tunaelekea kubaya sasa
Juzi hapo Leaders Club alipanda jukwaani Msanii Ray Vanny Boy kiukweli nishangaa sana kuona akibaguliwa na U Yanga wake, tukemee kwa nguvu zote