@CloudsMediaLive Kwann yule jamaa aliamua kupinduka sarakasi bungeni hakuna shelia ambayo ilitakiwa kumuadhibu na mbona kuna vituko vingi bungeni adi mwanangu anataka kuangalia bungee kila saa
@IamFistonMayele Nataka siku tunacheza na makolo makambo awepo pale namba Tisa na wew ucheze na kumi sure boy awe sub Yako na feisali acheze kumi na moja
@Eric_Bernard94 Yaani huyu jamaa wa mchongo kweli aache kulia na mkewe huko ety anakuja Lia bungeni halafu wananchi wake wanalia njaa huko anayaona machozi yake ndio bola kuliko yawananchi wake
@yangasc1935 Nqkwambiaje msheri ni ana katwa yaani badala aaangalie mpri unapigwa kwenda wapi yeye anafanya kazi za mabeki huu ni ufala yaani toka dakika yakwanza alikua anaonekana anapotea kisenge boya yule watu wanapigana yeye anafanya ujinga fala kabisa