Human behaviour follows the law of least effort.
we will naturally gravitate toward the option that requires least amount of work.
Redesign your life so the actions that matter most are also the actions that are easiest to do
Maneno 15 ambayo yanatumika sana kwenye uwekezaji kwa wale wanaoanza
(15 commonly used investment terms for beginners)
1. Principal - Kiasi cha mtaji wako unao wekeza kabla ya faida
2. Return/Yield - Kiasi cha faida uwekezaji wako utakupa
3. Coupon - Kiasi cha riba kinacholipwa ukiwekeza kwenye hati fungani
4. Risk - Uwezekano wa kupata hasara, au kupata faida ndogo, au kupoteza kabisa mtaji wako
5. Liquidity - Uwezo wa kupata fedha zako muda wowote ukizihitaji
6. Safety - Usalama wa uwekezaji wako
7. Capital gain - Kiasi cha ongezeko la bei la uwekezaji wako mfano katika hisa
8. Dividend - Gawio unalopata mwisho wa mwaka, kama mwanahisa, kutokana na faida iliyozalishwa na kampuni
9. Compounding - Kuwekeza tena mtaji wako na faida yake bila kutoa ila uje upate zaidi huko mbele
10. Primary market - Uuzaji wa hisa au hati fungani au uwekezaji mwingine kwa mara ya kwanza. Katika ya kampuni/muuzaji na mnunuaji
11. Secondary market - Uuzaji na ununuaji wa uwekezaji kutoka kwa wale walionunua katika “primary market”
12. Portfolio - Kapu lenye uwekezaji wako mbali mbali uliofanya
13. Asset class - aina ya uwekezaji wenye sifa za kufanana, hasa kwenye “risk na return”
14. Hedging - mbinu inayotumika kupunguza risk au hasara ambayo unaweza kupata
15. Index - Fungu/orodha ya aina ya uwekezaji wa aina mmoja unaotumika kama “benchmark” katika kupiga hesabu ya faida ya uwekezaji
5 BEST KEGEL EXERCISES FOR MALE STRENGTH..!
→ Boosting Libido🔋
→ Pen!le Strength!
→ Lasting Longer ✅️
→ Blood Circulation ✅️
SW: Mazoezi ya KEGELS na Faida Zake,
A Thread 🧵 (Video On Comments)
Kuna watu ambao wanarun Companies tena wengine wako kwenye vitengo vizuri lakini hawajui EMAIL COMMUNICATION!
Wakuu, email Ina namna zake za kimawasiliano. Official email haindikwi kama barua wakuu. Zina lugha zake na namna zake!
Anyway wacha niwasaidie kuondoa hizo aibu ndogo ndogo kwa wale wanaotaka kujifunza, nendeni YouTube kisha mtafute huyu jamaa, ENGLISH WITH ALEX. Utajifunza mambo mengi mazuri!
Levavi Oculus 💪🏾
How to overcome financial anxiety
Financial anxiety is a constant worry on whether you will manage to pay your bills when due, fear of your future financial situation, or fear being broke.
How to address it?
1. Focus on your short-term money making possibilities while planning for the long-term goals.
- The money in 2026 cant solve your bill next month
2. Resist societal pressures on buying or owning setting things. Run your own race
3. Dont take debts you cant manage
4. Dont live above your means (housing, kid’s education, car services, are among major triggers)
5. Use budgeting and stick to it as much as you can. This will help to bring you back on the line.
6. Build multiple sources of income, one at a time
7. Be content with what you have while chasing bigger things
8. Address the causes (overspending, addictions, over-borrowing)
9. Build an emergency fund
Pamoja na kuwa tuna Ardhi Nzuri Kwa Kilimo Cha Saumu
Lakini Kitunguu Saumu imewekwa kwenye list ya Import Goods
Kama una Ndoto ya kulima Saumu
Here's the Compilation threads
👇
FURSA ZA BIASHARA AMBAZO HAZIJAFANYIWA KAZI SANA KATIKA SEKTA MBALIMBALI (Zipo baadhi tayari zimeanza)
KILIMO NA CHAKULA
1. Uhifadhi wa mazao baada ya kuvuna
2. “Ghost kitchen” - kuwa na jiko bila mgahawa, unapika na kufanya delivery kupitia app. Na jiko linakuwa shared na wapishi tofauti
3. Matumizi ya teknolojia kuanzia kuandaa shamba hadi chakula kumfikia mlaji (hapo katikaki fursa ni nyingi kwa kutumia tech)
4. Huduma za fedha na bima kwa wakulima
5. Usimamiza wa shamba (farm management)
6. Kulimia watu wengine na kuchukua percent (crowdfarming)
7. “Restaurant booking”
SEKTA YA AFYA
1. Doctor-Patient booking kupunguza queing hospitali
2. Kutumia AI kugundua magonjwa mapema (AI early detection)
3. Home-based care
4. “bed-side imaging”
5. Pickup & delivery of lab samples from home
HUDUMA ZA FEDHA
1. “credit scoring” kwa wasio na akaunti za benki
2. Robo-advisor - ushauri wa kuwekeza kutumia robot
3. Utoaji wa elimu ya fedha
4. “Profiling-based insurance products
5. FX hedging platform
HUDUMA ZA UJENZI NA MAJENGO
1. Nyumba za bei ya chini (affordable housing)
2. “Smart homes”
3. “Real estate crowdfunding”
4. Real Estate Investment Trust (REIT)
5. Peer-to-peer mortgage platform
6. Green building technology
Itaendelea…..
HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA.
Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara
Kupata hii PDF yenye Pages 10.
commment "nahitaji"
"Repost" hii post
Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia.
📌