🧠 Msongo Wa Mawazo Unaonekana Hata Mwilini
💊Kichwa kuuma bila sababu, moyo kwenda mbio, usingizi kuvurugika, tumbo kujaa au kukosa hamu ya kula...n.k.
🏩Hizi zinaweza kuwa dalili za msongo wa mawazo — si ugonjwa wa mwili tu, bali wa akili pia
#AfyaYaAkiliNiAfya
🍷 Pombe Sio Tiba ya Huzuni
🍻Kunywa pombe ili kusahau huzuni si suluhisho 👉🏽Ni kuongeza maumivu kwa muda mrefu.
🤳🏼Changamoto ya Afya ya Akili inahitaji msaada, si kuepukwa.
#AfyaYaAkiliNiAfya#TafutaMsaada#TibaSiyoPombe
🧠 Msongo wa Mawazo (stress) Siyo Kawaida ya Maisha
Kama kila siku unahisi kuchoka kiakili, huzuni bila sababu, au kushindwa kufurahia maisha… nk.
🔶 Huo si "uzembe" wala "halii ya kawaida" ni ishara ya msongo wa mawazo.
👉🏽 Tafuta msaada mapema.
#AfyaYaAkiliNiAfya
Ni wakati gani unatakiwa umuone mtaalam wa Afya ya Akili?
Jibu; Ukipata shida kupata usingizi, Unajitenga na marafiki, au huhisi furaha kama zamani - Ukiona hivyo ujue afya yako ya akili inaweza kuwa na changamoto na unajitaji msaada.