@ikulumawasliano Hii kima cha chini sijaelewa jamani ebu alielewa anaielekeze maana baadae hapa unaona ka laki 500k kale kale kameingia tunaaza kusnichi na kusema mama hakuna kitu hapo tupewe muongozo kabisa maana nilishaaza kuwaza ku- top up
@FumboKhan2019 Kaka umekurupuka
Yutong mpya ni mil 380 mpka mil 400 kwa upgrade f12 plus na seats passenger ni 55 iyo inakuwa na VIP NA LOC pia inakuwa na choo kwa zhotong climber mil 400 mpk mil 450 kwa upgrade sasa ..uko kwenye mil 800 ni SCANIA GAMILANG ndo inaweza kuwa iyo bei au zaid
@cute4_drama Ila ma demu wa CHUO CHA MLIMANI bwana amenimbia nimtumie nauli nikatuma kumbe katoka chuoni mpka makumbusho uku anatembea ili ile hela ya nauli aweke Bando halafu kurudi ananiomba nauli Tena jamani huu si wizi ๐๐๐๐
@MangiWakwanza Uyu kijana mwezetu sio Kama hajui kuwa CCM wana mtu wao wameshamuandaa kwa jili ya iko kiti anajua vizuri Ila kwa kuwa sio kila mpango Ana panga mungu Kuna mingne anapanga shetani