@YerickoNyerereT Kwa kua wamepewa magari ndo ajipendekeze na aache kuongea ukweli na kukemea ujinga unaoendelea?. Mbona chauma huko mmeanza kupoteana na husemi kenge wewe
STOP USING PROPAGANDA OVER THE LIVES OF TANGANYIKANS.
No nation is oppressing us. Our problems are the result of our own ignorance and cruelty.
We have abandoned accountability founded on the rule of law and the Constitution, and have turned ourselves into untouchable gods.
We cannot continue killing and attacking thousands of people and then claim to be sovereign; that is ignorance born out of a lack of understanding.
Sovereignty in any nation exists within civilized limits recognized by the international community.
IF WE ARE NOT READY TO HOLD OURSELVES ACCOUNTABLE, THEN THE INTERNATIONAL COMMUNITY WILL HOLD US ACCOUNTABLE.
Truth, Justice, and Accountability are the only foundations upon which this nation can be rescued from its current crisis.
BAK MWABUKUSI
@LembrusMchome Kwani msimamo wa serikali kuhusu ushoga ni nini na jiulize hapa Tz hao mashoga wapo ama hawapo?. Tunajua upo kwenye payroll ya msajili wa vyama vya siasa ndomaana unajifanya kushambulia. Ccm sio wa kuamini kuna siku watakuacha na utarud mtaani sisi tuna save tu hizi post zako.
@HildaNewton21 Hizi mbegu wanazopanda polisi na ccm watavuna muda si mrefu. Tutunze hizi shahidi zote vizuri kuna muda tutazihitaji. Kila mtu atafanyiwa sawa sawa na alichofanya.
@Getrude_mollel Kama mahakama yenyewe inafanyakazi kwa maelekezo toka ikulu kuna mahakama hapo.? Unafurahia uozo wa taasisi muhimu kwa maendeleo ya nchi, hata majaji na jaji mkuu wanadai posho zao hawalipwi kwa wakati, mfumo wetu wa haki ni kiini macho