Hii kitu huwa inatia hasira sana. Wengine wanawekeza kwenye viwanja vya michezo na maeneo ya bustani za kupumzikia, ila sisi kila eneo la wazi mwenye visenti anawaza kupora ajenge fremu za maduka au ICDs. Bladifakeni kabisa.
@Thommunkondya Acha kukata tamaa mzee, sukuma kete tu, kuna siku kete inaenda fresh, kuna siku lazima utazingua. Hujui lin ila ipo siku, sema nn siasa inalipa
Wakuu hua mnafanyaje fanyaje kupata kazi mbona naenda mwezi wa tano sioni dalili na nimeshameet several HR na experience ya kazi ipo more than 6 years?