Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 18 Julai, 2026.
@godbless_lema Umefirisika kiakili,kwahiyo wewe kuwa na Gari ndounaona uzarau wenye pikipiki? Unafikiri dharau zako zitakusaidia? Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na utendaji bora, ninapoendelea na jukumu hili la kulitumikia Taifa letu kusonga mbele zaidi.