@mswahili___ Mshahara wenyewe laki na nusu Bado wako kwenye risk ya kulipuka mda wowote anii huwa nawatafakari sana Hawa wadada sjui wanavyo shika Ile pump β½ wanahisi kama Wana shika gun π«
@udsm_finest Hamnaga mchekeshaji hapa bongo Kwa stand up comedy
Hawa ni watoa comment tu walio pata nafasi ya kuziongea mbele za watu badala ya kuzi type.. there's no art in Tanzanian stand up comedy Tena kama Huyu said said ata hachekeshagi watu wanachekaga kumfariji tu
Maendeleo, Ni kukua na kuwa na vyote unavyo vihitaji au vinavyohitajika kukidhi haja na mahitaji yako, ukitambua "HAITA MFAIDIA MTU, KUPATA YOTE YA DUNIA, AKAKOSA UFALME WA MBINGUNI".
Mafanikio, Ni kumjua Mungu wa kweri, kumpenda Kwa akili na nguvu zako zote! Kuwa katika hali ya kuridhika au kutosheka, si kuwa na vingi sana, Ukamkana Mungu ukisema hayupo na humtambui, Wala si katika umaskini, Ukaiba ukamkosea Mwenyezi Mungu
Mithali 30:7-9
Lakini baada ya hayo yote, Historia zao wote zilibadilishwa.
Lakini wewe ndugu yangu apo ndio hata mwaka hujamaliza tangu u graduate diploma,bachelor na masters yako, lakini lawama na manung'uniko kede kede. TAKE HEART AND ALWAYS BE PATIENT.
Takribani miaka 400+Wana wa Israel utumwani pale misri, miaka 40 mingine jangwani kabla ya kufika nchi ya ahadi,
Takribani miaka 13 Yusuphu akiwa katika utumwa na gerezani huko misri.
NACHUKUA FURSA NA NAFASI HII KUKUHASA NA KUKUHIMIZA KUWA, LINDA SANA AKILI YAKO KULIKO YOTE UYALINDAYO.
KWA KUJITENGA NA KUJIZUIA MATUMIZI YA VILEO NA VICHOCHEO VYA AINA HIYO.
Leo natamani niiweke ivi
SOME WERE HEALED ON SABBATH.
Alafu natamani ujue ivi katika kitabu cha Mithali 4:23 imeandikwa Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo;
Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Unakaribisha au unanyemelewa na matatizo makubwa ya kiafya kama SHINIKIZO LA JUU LA DAMU, SARATANI, MAGONJWA YA MOYO NA FIGO, MAGONJWA YA AKILI ya kiambatanisha kutenda au kuenenda katika Mitindo na Tabia zisizo za kawaida