Pichani ni Mzee MIKE NAYLOR.
Huyu bwana ni Muingereza anayesadikika kuwa mtu MUONGO kuliko wote duniani,
Katika mashindano ya kutafuta mtu muongo zaidi (The biggest Liar Competition) yanayofanyika mwezi wa 11 kila mwaka nchini Uingereza huyu bwana ameshinda mara 7.
@drmlalukoMD@rollymsouth Akimgombeza anageukia kwangu na kuniambia, UJE UMTIE MAKOFI au mchape na mkanda asije kuzoea
(Wakati huo mi sielewi kinachoendelea ndani)
Ajali iliyoondoka na mdogo angu
#BestBloodFriend
Gap jingine
#mama 2010
#Baba 2014
#Dogo 2022
Ahsante Mungu kwa maisha ya SAMSON MILLANZI
jina la Mungu lihimidiwe๐๐