Wataalamu hawajafanikiwa kugundua nini haswa husababisha saratani ya myeloma lakini kuna nadharia kadhaa zinazopelekea saratani hiyo kama:
🔹Madawa ya kuulia wadudu na ya kupulizia kwenye mimea
🔹 Benzini
🔹 Rangi za nywele
🔹 Mionzi
#SarataniHaituwezi@WHO_Tanzania@CDCgov
🔷precautions should be taken when taking alendronate:
📍Do not eat, drink, or take any other medications (vitamins or antacids) for at least 30 minutes.
📍Do not lie down for at least 30 minutes after you take alendronate.
ITS WORLD CANCER DAY
Cancer does not have the power to kill you until you allow it to do so. Stay strong and stay happy. Let us add more meaning to World Cancer Day by creating more awareness about it... Let us end Cancer from all our lives!
Close the care gap. 🎗️