Sisi tumepimaHIV tunafurahi kuwa vizuri ,niwajibu wako kijana kupima muda ndo huu bado hujachelewa #RafikikapimeHIV @tanzaniainterfaithpartnership @wizara_afya @agpahi
Wazazi /walezi tupambane Kwa pamoja kuzuia ukatili wa kijinsia maana Una madhara makubwa katika jamii zetu #zuiaukatiliikwawatoto @tanzaniainterfaithpartenership @wizara _afya @agpahitz
https://t.co/q1gMvQeAcN
Zuiaukatili dhiidi ya wanaeake wapatieni haki zao za msingi ,wanaeake tuepuke vixhawixhi hasa vya mwili ,nivyema kujali afya zetu afya ndoo kila kitu ,Mimi na ww ni wajibu wetu kupima ukatili #zuiaukatiliwakingono
Ni Raha kiasi gani unakua huna ukishapima HIV ? Share with me hapa kama ushawahi kupima UKIMWI ,ulijisikiaje baada ya kupata majibu yako #RafikikapimeHIV