Kutoka 14:4
[4]Nami nitaufanya uwe mgumu moyo wa Farao, naye atafuata nyuma yao; nami nitajipatia utukufu kwa Farao, na kwa jeshi lake lote; na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA. Basi wakafanya hivyo.๐
MUNGU yupo kazini.
Ni miezi mitatu sasa toka ndugu zetu wakatishwe uhai na kuporwa pumzi waliojaaliwa bure na MUNGU.
MUNGU aendelee kuzipa Faraja familia zote, huku tukisubiri malipo juu ya haya ๐๐พ
#MO29 ๐
Mwanaume fanya SARAKASI zako zoote ila,
Usije Ukawa na MTOTO nje ya NDOA Aisee. Drama zinazokuja na Hii Situation ni za KUDUMU. Wachache Wenye Hii Situation Nilioongea Nao Huwa WANAJUTA sana Bahati Mbaya Hawawezi tu Kukiri Hadharani.