Nimesikitishwa na kauli ya paratrooper kusema napenda kulia,ajui matatizo ya Wananchi ndiyo wananiliza.?
Kama CCM wasingekuwa wanatesa Wananchi unafikiri ningekuwa nalia..?
Nimejikuta machozi yananitoka baada ya kuona hadi leo Kuna watu hamjui kwanini nalia kila siku na kila muda.
Kwa kilio zaidi sogelea pale Telegram....!