#NenoHuru
Sikia, hebu jifunze kusema "hapana" pale inapobidi. Kukataa jambo lisilokufaa si ubaya wala jeuri, bali ni njia ya kujilinda na kuheshimu maisha yako.
Watu wanaojua kusimamia maamuzi yao mara nyingi huaminika na kuheshimiwa zaidi.
Shauri Yako...
ูุง ูู ูู ุฃู ูุญุจู ูููู ุงููุงุณ ู ูู ุง ูุนูุชู. ูุฃู ุงูุณุจุจ ุงูุฐู ุฌุนู ูุฆุฉ ุชุญุจู ูู ููุณู ุงูุฐู ุฌุนู ูุฆุฉ ุฃุฎุฑู ุชูุฑูู
Haiwezekani kupendwa na kila mtu hata ufanye nini. Sababu ambayo imewafanya watu wakupende, ndio sababu hiyohiyo imewafanya wengine wakuchukie.
Zaburi 83:16-18
Uwajaze nyuso zao fedheha; Wakalitafute jina lako, Bwana.
Waaibike, wafadhaike milele, Naam, watahayarike na kupotea.
Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, Ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote.
๐๐ค๐ค๐ ๐ข๐ค๐ง๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐๐๐ฃ๐ฏ๐๐ฃ๐๐