@shabani_kessy@scanda24 Walivyofanya simba bada ya yanga kuingia fainaly ya CAFCC hili hamkuliona...msemaji wa simba aliongea sana kuhusu hili lakini wapiiii...leo amefanya wa yanga ndo inaonekana syo professionalism...๐ค๐ค๐คdouble standards my people
@BinMtanzania @TunduALissu Umeshasema hi ni nchi huru....sasa si kila mtu ana uhuru wa kuwa na maoni yake binafsi..wewe unaetaka watu wkae kimya ndie beberu
@robbybling@scanda24 Hata kina perez huko madrid hawafanyi hichi anachotaka eng.afanye....sioni ulazima wowote au ubaya wowote hapo.....angeandika hili kama ushauri ningemuelewa..lakini syo kwa kukosoa huko aisee