@Wolfugang2@SalumuKalumuna@mzeewakaliua Hapana mimi bado sijaona chama cha kufuata ndo maana hata kadi sina wala kura sipigi sababu najua vyama vingi hapa ni mseto
@Wolfugang2@SalumuKalumuna@mzeewakaliua Napambana mzee kuwaelewesha umma uwanja watu waliwahi kukutana na madhila ya kuangukiwa na geti lakini wabongo hamkuona sababu ya kujenga wakwenu mpaka nywele laini azuiliwe kuingia VVIP ndo mcharukwe