Kuwa mfugaji wa kisasa, kwa kuhakikisha uwekaji wa umbu kumbu ni jambo la kulipa kipaumbele, kwa lengo la kuwa na mwenedo mzma wa mradi wako.
#zalishasasa
UFUGAJI WA NG`OMBE
Hakikisha banda lipo imara na lina uwezo wa kuhimili hali tofauti za hewa, pamoja na wavamizi kama wezi au wanyama pori.
#zalishasasa
MAMBO YA KUZINGATIA KWA UKUAJI WA NDAMA
- Wape chanjo za minyoo.
- Wape chakula bora.
- Safisha/weka sawa vyumba vyao
Hayo ni baadhi tu ya mambo ya msingi kwa kuhakikisha Ndama wanakuwa wenye afya.