Hii suala ya limit ya 5M kutuma/kutoa pesa kwenye mitandao ya simu wanapaswa kuireview na kuongeza kiwango at least ifike 20M, la sivyo ni mateso sana hatupo tena zama za mawe
@Sativa255 Kaka unakosea sana, unamaanisha Kigoma hakuna watu wanaoishi? Au umemaanisha watu wa Kigoma hawana akili na elimu ama macho ya kuona mwezi? Una maana gani?