Kama Kitunguu 1kg sokoni ni 70 bob
Hao mama mboga wanaletewa na brokers na 50bon per Kg.
Je, ndio broker auze na 50 bob na ameendea kw shamba, mkulima anaupewa pesa ngapi.
Kumaanisha Guardian angel na hizo tonnes zote anaeza pewa 20 bob per kg?
Ukulima ni ungui kabisa in ny books