Kwa nini Tanzania tusiruhusu kipimo hiki kitumike nyumbani?
Magonjwa ya figo nchini Tanzania ni moja ya changamoto inayokuja kuwa mzigo mkubwa kwa jamii na serikali.
Gharama za upimaji unapoenda hospitali ni kubwa maana wengi wanaenda kipindi ambacho tayari wana magonjwa yanawasumbua.
Leo nawaletea kipimo hiki cha mkojo kwa kutumia strips, ni kipimo ambacho kinaweza kubaini matatizo katika njia ya mkojo (ikiwemo UTI) lakini kubwa zaidi ni kubaini ugonjwa au shida yoyote ya figo katika hatua za awali.
Kama mtaalamu NINAJUA kipimo hiki kinaweza kutumika na kufanyika nyumbani kama screening test tu wanafamilia wanajichunguza afya zao kila baada ya mwaka au miezi 6 na kama kutakua na kiashiria cha ugonjwa wowote kitakupa majibu, utaenda kwa daktari. Lakini kama hakuna shida basi unasubiri mwaka mwingjne au miezi 6.
Ningekua na mamlaka ningeruhusu matumizi ya hiki kipimo cha mkojo (urinalysis strips na color chart) watu wafundishwe, watumie hata wakiwa nyumbani.
Mhe @ummymwalimu Imagine hiki kipimo cha urinalysis kikipitishwa kutumika majumbani, kila mwaka unanunua au mnachanga 20k, kwa kila kopo moja zinakaa strips 50, kila mtu kimoja tu, mkiwa hata 50 mnaweza kupima, ni muhimu kujua afya ya FIGO yako.
Kama kuna mabadiliko kwenye sehemu yoyote kupitia karatasi ya kufananisha rangi ambayo inaambatana na kipimo basi unaweza kwenda hospitali kwa ajili ya vipimo zaidi. Kama itaonekana hamna shida basi uko sawa, baada ya mwaka unapima tena.
Kwa nini tusiruhusu kama moja ya home based tests?
@privaldinho What is History?
=>History is the Study of Past events that are useless for the Time being, , , , , @AlHilalSC_ wanawasubirini pale Khartoum
@daktarimtalii "GPA is nothing but Matters Alot"
GPA ikiwa ndogo kuna baadhi ya fursa zitaku select OUT, hivyo hivyo ukiwa na GPA kubwa with no Practical skills utazurula sana
Hawa wana (GPA and UJUZI) wanategemeana sana, ni majirani
Have them all
@enovelist1@paulocoelho I read it few years ago i think it is a prophecy that came to the author about of what will happen in future about the RMS Titanic ship
Almost everything happened as it was written by the author
I always ask my self why the author died one year after the RMS tragedy???
For those addicted in Novels + Other Literal works
"Reading the Alchemist is like getting up at dawn while the rest of the world is still slept"
Im more pleased with the Characters Santiago, Melkizedek King of Salem, Fatima, The Merchant etc One of my best book ever @paulocoelho
@enovelist1@paulocoelho@enovelist1 it is not only planning to re read but i have read it thrice and it is one of the book that i have quoted it several times in my daily conversations
Right now im with THE WRECK OF THE TITAN by #MORGANROBERTSON
A Very powerful prophetic novel on the RMS Titanic ship
@HKigwangalla 😂😂English is Like a native language now in this country and some of us we have gone more further whether Latin, Portuguese or Chinese just tweet we will comment
English is so Simple to these generation
Waiting for your English tweets