@FamWorld2025 Unakaa na uchungu kwa 21 years? Unamchumkia mtu miaka mingi hivo mi swezi I will never talk to you ila ntasamehe kwakweli swezagi kukaa na kitu mda mrefu
@FamWorld2025 Mimi katika kitu nimepewa basi ni kunyamazia watu sitauliza nani amesema kwanini na wapi nitakucut off and I won't clear anything to anyone kwakweli