ANAADIKA NEEMA MUNUO AMBAE MWANAE ALIUWAWA KWA RISASI Neema Munuo
Tarehe ya leo 29/12/umetimiza miezi 2 kaburinii (60) bila uwepo wako binti yangu kipenzi Maria😭😭,, ni tarehe iliyoweka alama ya uchungu maishani mwangu😭wauwaji walikatisha ndoto zako kwa kukupiga risasi tumboni ukiwa bado binti mdogo sanaa na mwenye ndoto nyingi sanaa,,mamaako napitia kipindi kigumu sana tangu uondoke bila kuniaga mamaa😭mwili wangu umedhoofu kwa kuliaa na kukuombolezea tuu nikihisii unarudi mamaangu,kuishi bila uwepo wako kwangu ni maumivu makali sana Maria,,, 25/12,, kwa wengine ilikuwa furaha ila kwangu ni maumivu nikikumbuka ulikuwa unanipikia na hata kufurahia pamoja familia nzimaa, nawezaje bila wewe mamaa😭😭
😭Wameizulumu nafsi yako mamaangu nakumbuka wakati unaugulia maumivu makali ya risasi ya tumbo na huku huduma za kihosptal zikiwa zimefungwa ulilia kwa uchungu na kumwambia kaka yako akupepee unahisi maumivu makali ya moto tumboni😭na bado ulimwambia mama caren nakufa😭😭 sijamkosea mtu na sijawahi mkosea mtu kwa ninii wanakuuwaa,,, kilio chako cha uchungu kiliwaliza wengi na kumalizia kusema Yesu nisaidie na unisamehe kama kuna mtu nimemkosea yalikuwa maneno yako ya mwisho huku damu zikimwagika nyingi na kufunga kauli binti yangu😭😭umeondoka umeniacha na machozii mamaangu,, siwezi kufanya chochote mwezi wa pili sasa😭😭Ee Mungu naomba haki ya binti yangu ipatikane hata kama itachelewa,,, Mariaa usilale mwanangu hukuwa umemkosea mtu bali wamekuuwa bila kosa, Usilale mpaka haki yako ipatikane mamaangu😭😭Nawashukuru sana wote wenye mapenzi mema ndugu na marafiki na watumishi wa Mungu waozidi kufanya maombi juu yangu na hata wale wanaofika nyumbani kuja kunipa pole na kunifarijii Mungu awabari sanaa na asiwapungukie milele,, Bado nahitaji sana faraja zenu kwani inauma sana mzazi kumzika mwanae tena kwenye umri mdogo badala ya mtoto kumzika mzazi wakee😭😭😭
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
@TMnyama4_ Poleee but usifanyee ivyo ata MUNGU HATA KUSAMEE... jitaidi kuishi katika maombi ata kama unaona mambo ayaendi naamini MUNGU ANAMPANGO NA WEWE
Yeremia 29:11 Maana mimi najua mipango ninayoipanga kwa ajili yenu, asema Bwana, mipango ya amani, wala si ya shari...”
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ So pain asee... nchi ii watu wengi wanazulumika ki namna ii ujanja ujanja usha kuwa mwingi serikari na mamlaka usika ijitaidi kusaidia wanyonge maana ndio wanateswa hasa na wanyonyaji wa namna hii apa machozi yananitoka kama mama angu ndio anabuluzwa namna ii ii sio FEAR