@LifeOfJuma@IgoraIrene32964@SamataJr_12@EngMapundajr Wanapoenda maboss wao wanapa allowance ya liters 300 kwamba ukipata hasara ya hizo liters hupigwi faini, lkn wamachofanya wao hizo 300 wanazopewa kwanza wanaziiba. Kisha washushaji wasio waaminifu wakiwaibia liter 200 unakuta tayari ana loss ya lita 500.
@IgoraIrene32964@Ibrah_Sheby@SamataJr_12@EngMapundajr Nawafahamu vizuri nyie madereva kwenye mafuta mnapiga sana vipara, punguzeni. Umepewa allowance ya liters 150 mpaka 300 lkn bado unampiga tajiri 900, hata kama flowmeters za Congo hazifanyiwa calibrations huwezi pata hasara ya hizo liters."Mjitathimini".
@Ibrah_Sheby@IgoraIrene32964@SamataJr_12@EngMapundajr Wapakiaji hawaibi kwa sababu baada ya kupima kwa mizigo mingi ya nje panakua na surveyor wanaohakiki ujazo uliopima kama ni sahahi na wanaandika report uanyoenda nayo huko unaposhusha kama palikua na upungufu wakati wa upakiaji surveyor wanaandika kila kitu.