Kitengela is smoking victory. Edwin Sifuna, Babu Owino, James Orengo and company showing the gluttons in pwani some dust. Oburu's faction ni kama dem hana matiti akijaribu kufanya challenge ya UP BURUKANGA.
ODM right now, gas imeisha, mwiko umevunjika na unga umezidi maji. Kutimua Sifuna and replacing him with someone struggling to read a basic statement is like shooting oneself in the brain. Braindead party
Incoming Seth Panyako watu wa tutam na Ndakwa mulakwa minyikha hadi mkubali ni wantam. Meanwhile, Bure and his brother Kabisa wanakunywa chai na mandazi statehouse.