Pesa/Mapenzi/Siasa na Dini isiwe chanzo Cha mimi na wewe kugombana.๐ซก
Born:Dar es salaam-Tanganyika
Nationality: People's Republic of Tanganyika
#AmaniNaUpendo
@MchinjitaIR@mwigulunchemba1 Naamini CCM siku moja itatoka madarakani ila kwa tabia wanazotuonyesha siku watakayotoka madarakani itamwagika damu nyingi kuliko ya 29 october,2025 yaani watakua radhi kuua watanzania wengi ila haitosaidia kwao kubaki kwenye utawala.natafakari ๐ค

@YerickoNyerereT yericko usiwaone watanganyika kama mafala wanaelewa kila kinachoendelea,wewe kama umeamua kusaliti chama endelea na maisha yako ila wao sio wajinga.
@sukununu01 unaweza kufanya maridhiano na watu waliowahi kufanya jaribio la kukuua? hao watu wakipata nafasi nyingine watakuua tu ili mradi watimize malengo yao.
@mTusiOriginal Manara ni Diwani,Heche ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Diwani amejitahidi sana ila Mlima aliokiwa ana jaribu kuupanda unamsumbia hadi Mwenyekiti wake wa CCM.
@EsirEid ukijua kusudi la uwepo wako duniani huwezi kushabikia haya mambo ya vita,hao mabepari iyo vita yao haina nasaba na Mwenyezi Mungu,acha wafu wazikane.