๐ฆMaisha yanaihitaji Amani ya Moyo Siku zote,, Jitahidi uishi katika mfumo๐
Afya huleta Amani
Upendo huleta Amani
Heshima huleta Amani
Pesa huleta Amani
๐ฏOngeza kingine kama chanzo Cha amani...
@MSAFWA_OG @SincerelyRahma_ maisha yamebadilika sana watu hawana woga Tena Kila sehemu wanapenyeza tu,, magonjwa yapo wazee wahii michezo ๐ฎ kwahiyo jamaa anataka pawe padogo akati kapatanua yeye ๐คaende kwa wataalamu wa afya akapate msaada zaidi