Nimeshangaa sana kuona Mbunge ajui sehemu ya kupeleka changamoto za wananchi wako.
Kwa akili ya kawaida kwenye ule mkutano ndio sehemu ya kueleza shida za Wana kisesa
Ulitaka Rais atoe amri kwa waziri wa ujenzi kama ujawahi eleza changamoto zako bungeni.
Kumbe wenetu wa @StanbicBankTZ wamemzawadia mtu gari leo kwenye promotion ya Tap Kibingwa na mpo kimya , watu na ngekewa zao!
Suzuki Fronx imepata mtu leo mapema๐๐
#StanbicTapKibingwa
#GAINTZ Youth leaders are coming together to strategize their collective action for 2025! From reviewing progress to aligning with national priorities, this session is about impact, collaboration, and real change in food systems. #Vijana4food
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ester Msambazi akiwa na Wataalamu kutoka Wizarani katika kikao cha awali cha kupitia utekelezaji wa shughuli zitakazofanyika wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Mkoani Kigoma.
Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Kigoma, unafanyika tarehe 24 Januari 2025, unaongozwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ambaye alitembelea Kigoma kwa ajili ya tukio hili muhimu. Akiwa Kigoma, Dkt. Ndumbaro alipokewa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.
Mafunzo ya kuwajengea uwezo watoa Huduma za Msaada wa Kisheria yameanza kwa mafanikio makubwa katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, yakihusisha watoa huduma wa msaada wa kisheria kutoka halmashauri zote za mkoa wa Kigoma. Mafunzo haya ni maandalizi muhimu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign - MSLAC), inayolenga kuhakikisha huduma za msaada wa kisheria zinafika kwa wananchi wote kwa ufanisi na kwa uwazi.
Malengo ya Mafunzo:
1. Kuimarisha Uelewa wa Sheria:
Kuwapa washiriki uelewa wa kina wa sheria za ardhi, mirathi, ndoa, ajira, haki za binadamu, na masuala ya ukatili wa kijinsia ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi.
2. Kujenga Uwezo wa Kusimamia Migogoro: Kuwafundisha mbinu za usuluhishi, upatanishi, na ushauri wa kisheria kwa lengo la kupunguza migogoro mahakamani na kuwezesha suluhu za amani.
3. Kuandaa Mpango wa Utekelezaji:
Kuwasaidia washiriki kutengeneza mikakati ya utekelezaji wa kampeni kwa ngazi ya wilaya na vijiji, kwa kuzingatia mahitaji ya kila eneo.
MSLAC Rasmi Tarehe 24/01/2025:
Kampeni ya MSLAC itaanza rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita, ikiwemo Kigoma, ambapo shughuli zitafanyika katika wilaya zote. Kampeni hii inalenga:
- Kuhamasisha wananchi kuhusu haki zao za kisheria.
- Kutoa msaada wa kisheria bure kwa wenye uhitaji.
- Kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kuandika wosia na kushughulikia migogoro kupitia njia za usuluhishi.
Umuhimu kwa Mkoa wa Kigoma:
Kigoma, ikiwa moja ya mikoa muhimu nchini, imepewa kipaumbele kutokana na changamoto zinazohusiana na migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, na haki za ajira. Kupitia mafunzo haya, watoa huduma za msaada wa kisheria wataweza kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi, hivyo kuchangia katika kujenga jamii yenye amani na maendeleo.
Mafunzo haya yanaonesha jinsi serikali ya awamu ya sita inavyowekeza katika kuhakikisha haki zinapatikana kwa kila Mtanzania, hususan kupitia Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria.
Lema Asaidiwe naona kuna fuse imekata Moto. Yaani anataka Lisu ashinde amteue mwana CCM Dr Silaa awe mjumbe wa Kamati kuu? Sasa hicho kitakuwa chama cha Siasa Au chama cha Masela.