@Sisimizi3 Kimsingi tumeanza kurudi Kanisa Katoliki kwasababu ni watu wanaosimamia haki na sio matapeli.
Hawajawahi kushawishi watu kujiunga nao na wako thabiti katika kile wanachoamini.
Waliobaki wote ni vibaraka wa wanyonyaji
@TitoMagoti The GPA tells the world that here is a person you can sit down and listen to.
Vijana wasifanye mchezo kwenye hizo tarakimu maana zinawaeleza watu juu yako kabla hajaruhusiwa kujieleza.
Kwenye wimbi kubwa la wasomi wasio na ajira wala mitaji, GPA itakufungulia mlango kusikilizwa
@nuru_yumyum Zamani ningewatetea wanajeshi ila tangu ndugu zetu walipouawa mbele ya wanajeshi wakabaki kimya, niliwaona hawana maana kabisa.
Azamishwe huyo mjeshi na Polisi ili mtumbi uwe mwepesi zaidi๐ฎ๐ฎ
@EduTalkTz Huyu akumbushwe kwamba kashakuwa Waziri
Aweke pembeni mambo ya Motivation ajikite kwenye Action
Watu wana ndoto nyingi ila mazingira ya nchi sio wezeshi
@EduTalkTz@ezekiel_kamwaga Kamwaga ni mtafutia tumbo.
Hawezi kuelewa uchungu waliopitishwa watanzania kwa ndugu zao kuuawa mbele za macho yao bila kosa wala bila hatia kisheria.
Lakini,
Mungu yupo.
Yule Shekhe ubwabwa Majini alikuwa anawatetea sana Polisi na udhalimu.
Siku ya dhulma, akadhulmiwa uhai wake
@EduTalkTz@ezekiel_kamwaga MARIDHIANO yalishafanyika mwaka 2021 na kufikia 2023, uhalisia ulionekana.
The same people want to repeat the same script expecting different results.