DrNtuyabaliweFoundation hufanya mazungumzo na walimu, wanafunzi pamoja na wadau muhimu katika elimu kujua ni vitabu vipi na vifaa vipi vinahitajika katika maktaba na vilivyo katika mtaala wa elimu viwafaavyo wanafunzi katika kuinua elimu bora na kukuza ujuzi na maarifa ya watoto
Tulibahatika kuwatembelea wanafunzi wa shule ya msingi #Kinondoni. Na hawa ni baadhi ya wanafunzi wa darasa la tatu wakiwa katika #Maktaba tuliofanikiwa kuwaboreshea pamoja na kuwapelekea vitabu na baadhi ya vifaa vya #Maktaba mwaka jana. Tumefurahi kuona wanafunzi wanaifurahia.
Laughter all around as our chairman @JNtuyabaliwe handed over the newly refurbished library and books to Makumbusho Primary School earlier today.It is such a joy to be able to do this for our community.
UZINDUZI: mapema leo tuliungana na mkurugenzi @JNtuyabaliwe wa taasisi ya @DrNtuya na viongozi wa shule walipozindua maktaba shuleni Muungano. Tumewapa nakala 100 za #SemaMagazine kama mchango wetu katika maktaba hiyo.
Today, as we celebrate this day, let us join hands to 'Stop Violence Against Children'. As it will help in building them for a better future. Happy Universal Children's Day. #WorldChildrenDay2017
Kusherehekea 'Siku ya Mtoto Duniani' tumetembelea shule za msingi Muungano na Serengeti zilizopo wilaya ya Temeke. Kauli mbiu ya mwaka huu ni 'Kuzuia Ukatili kwa Watoto' hivyo tumeweza kushirikiana na @sematanzania,kuwafundisha wanafunzi muhimu kuhusu haki zao.#WorldChildrensDay
We believe that because habits are formed at an early stage in a childโs life the libraries and books that we provide to primary schools will have a big impact in the future of our society.#readlearnempower