@RevocatusMagum1@CloudsMediaLive 2siegemee mechu za simba na yanga 2... ebu cheki mechi za jana jkt ruvu vs fountain gate... kuna goli kafunga poul peter ni noma sana... halafu cheki mechi ya namungo vs mbeya city.. goli la hassan kabunda na mgoli wa eliud ambokile... halafu ndio utasema iyo migoli unaiweka wap
@captainpapilon Umekusahau buguruni shule opposite na benh club unaenda hadi maeneo ya sewa bar karibu na kituo cha polisi buguruni.....ukivuka barabara kama unaenda akiba bank Kuna maroli yanapaki nyumanya maroli watu wanainamishana sana... Mlinzi anapewa buku Malaya yake elf 3 unapiga bao lako
@George_Ambangil Huyu jamaa nimepata kumshuhudia alikua mwamba kweli pale Madrid namba 14 mgongoni.. Kwanza alikua mpenda ugomvi na alikua apendi kuona wachezahi wa Madrid wanaletewa unyonge