Aisha Gaddafi, anayejulikana pia kama "Claudia Schiffer wa Kaskazini mwa Afrika," alizaliwa tarehe 25 Desemba 1976, huko Tripoli, Libya. Muammar Gaddafi, na mkewe wa pili, Safia Farkash. Aisha alikulia katika mazingira ya kifahari. Alisoma sheria katika Chuo Kikuu cha Tripoli.
@ExMayorUbungo CCM ni Chama Cha Mabadiliko ndio maana kinaitwa Chama Cha Mapinduzi kuanzia katika Sera, Miundo, Mifumo mpaka Nafasi za uongozi na wala si kutafunana wala kukulana. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI BONI YAI
Nelson Mandela aliulizwa kwanini anatukuza marais madictator kama Fidel Castro, Ghadafi na wengineo wakati anapigania Democrasia?
Tazama video alivyojibu.
Rais Samia Suluhu Hassan amemkabidhi Nyumba Mjane wa Rais wa awamu ya Tano Dkt John Magufuli, Mama Janeth Magufuli jijini Dar es Salaam. Safi Sana Mama
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda #BabaWaUpendo atakuwa na ziara mahususi katika mikoa ya kanda ya ziwa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Karibuni wananchi wote tumpokee mtoto wa nyumbani #TunaendeleaNaMama🇹🇿 #JamboLipoJamboMtaliona
@KolnerioO Mbona hajashambuliwa msaidizi maalum waMwenyekiti FAM, tunarudi kule kule kwamba MNAJITEKA na KUJIPIGA ili ipatikane PUBLIC EMPATHY.
Simple logic ashambuliwe wa nini wkt MWANASHERIA LISSU hata nchini hayupo..
@John_Pambalu Bashe amejitahidi na amejitahidi kurudisha dhana ya kilimo ndio uti wa mgongo, kusema mradi unaobeba vijana 800+ ni mradi ili kusionekane matatizo mengine ni KUWAKOSEA SANA VIJANA unajiingiza mwenyewe KWENYE rekodi ya KUDHARAU NA KUTOKUTAKA VIJANA 800+kutopewa attention na nchi.
I repeat my call for a humanitarian ceasefire in the Middle East, the unconditional release of all hostages, and the delivery of life-saving supplies at the scale needed.
Everyone must assume their responsibilities.
This is a moment of truth.
History will judge us all.
Few moments ago: proudly listening to our Speaker of Parliament, Honourable Dr. Tulia Ackson, delivering her acceptance speech after being elected President of Inter-Parliamentary Union. Candidate quality, efforts by campaign team and Tanzania’s diplomacy, led by H.E @SuluhuSamia, ensured victory for her and Tanzania.
“Ninatuma salamu kwa Mawaziri wote na Wakuu wa Mikoa wote... kuwa kila Mtu atabeba Msalaba wake na bahati nzuri tunajuana. Sitakuwa Msemaji wa chama Muongo. Sijatunzwa kwa Miaka Mitatu na Miezi mitatu ile nije kusema Uongo” Paul Makonda
"Hakuna asiyejua historia ya Chama Cha Mapinduzi, hakuna asiyejua malengo ya Chama Cha Mapinduzi, hakuna asiyejua shabaha ya CCM, Lakini Mimi niseme Leo Moja tu Iwe jua, iwe Mvua CCM ndio baba lao"
Ndg. Paul Christian Makonda.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi CCM.