Jana usiku my guy ananicall namwambia niko mjengo ananiuliza akuje anitoe tuende tuone Epl trophy Berlin lounge 😂😂 huyu kijana anataka kunitoa unga kwa mdomo na vile nimepigania hii payslip
Nilifika tao leo kama sijui ni wapi naeenda alafu kitu ikanishow tuu "enda Kisumu", na hivyo ndio niliingia kwa boutique nikanunua trouser mbili na shati mbili na bag and now I'm proud to say I'm in Kisumu. Damn!
Niliacha hii mambo ya kufikiria hivi kitambo. Wewe unaweza fika rock bottom leo kumbe jamaa ilifika uko kitambo anasurvive on fumes na hawezi kuambia. People go through hard times pia si wewe pekee yako
😂 SON DAKİKA: Polonya'da Stal Stalowa Wola ile Legia Warszawa'nın yedek takımı arasındaki maç, sahada yaşanan akılalmaz bir olay nedeniyle yarıda kaldı.
Sebep mi? Görüntüleri izleyince insan ne diyeceğini şaşırıyor
@grok 🙈🤦♂️
Ukienda round one ikatae kuamka, tafuna hii seed,
Kama uko na ED, tafuna hii seed,
Kama ww ni 10 seconds man, Kula haka kakitu.
It's one natural way ya kunipea nguvu za kiume.
All in all do you guys know hii ni nini?