"Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe.
Isaya 43:4-5a
@JideJaydee Umeamua jambo jema kiukweli Simu zinaboa halafu kuna mtu anakupigia hamalizi kuongea no matter how hard you can try to end analeta jambo lingine
@earadiofm@AntipasPamba Hakuna uhusiano dunia imebadilika these people should learn from other countries as well vijana ndiyo inaoccupy large population wakiamua na tukiwa na tume huru anything can happen
@officialDrHerry@TunduALissu@HecheJohn Bila issue ya Zanzibar ambapo makamu wa Rais lazima atoke kule ila hii pair ilipaswa kabisa kuwa Wagombea Urais kwa tiketi ya CDM
@1960Remija I hope unaamanisha unachokiandika mana Mungu hadhihakiwi isije ikawa mnatumia njia zisizo halali kama sindano na ndumba halafu unasema baraka za Mungu
@ndele_maketa@MickyJnr__@YoungAfricansSC Are those negative stories not true?
And how are u protecting brand by trying to cover the bad things?
Go back to your club and do it well. No one will report the so-called negative stories