@YerickoNyerereT@freemanmbowetz Sema wewe jamaa uchawa wako kwa huyo Boss wako umepitiliza, kwa hiyo kutofautiana kimtazamo anakuwa mbaya wake? Vijana mnavamia siasa halafu hamna maarifa nayo.
Usisahau kwamba kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu but all is about interests.
@Oraibtz Mawazo yako ni ya kipumbavu, wewe ni hatari sana katika taifa, unazungumzia hasara iliyotokana na waandamanaji kwa kuweka misingi ya dini? Shame on you.
@ayubu_madenge Kama hujui kitu usiongee hiyo ni Military salute kwa mgeni.
Hiyo ilikuwa ni official visit na ndiyo maana umeona Putin hajakagua gwaride lakini hizo ndege zinatoa heshima ya kijeshi kwa Putin.
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
@Labella_Mafia95 Baada ya mda mfup Burkina Faso itakuwa nchi yenye hosptl nzuri kbsa baranฤฑ Africa.
Nakumbuka India walipo piga marufuku matumizi ya Magari Kutoka nje kwa maofisa wa serikali badala yake watumie TATA ilichukua muda mfupi sana kampuni ya TATA ikawa inazalisha Magari bora kabisa.
Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu Ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na wananchi na kuhusu kazi, na namna zaidi ya Shilingi Trilioni 3.1 toka serikalini kuja Mkoa wa Tanga zilivyobadili maisha yao kupitia miradi mbalimbali katika kipindi cha miaka minne.