#NewProfilePic
Black child you have been battered and bruised, dejected and discarded, even by the ones that promised you true liberation.
This is your time to rise like a Phoenix from the ashes of shattered dreams and realise true liberation in your lifetime
Ukisikiliza haya mahojiano utagundua kuna kauli za kutisha na kwamba hali ya Marekani kwa SASa si shwari jambo ambalo hatukuwahi kufikiri hapo kabla. Wapo watakaosema ni kutokana na vifo vya Januari 6, jambo si kweli kwa Marekani vifo 6 vinastahili haya yote kwa raisi? #WhoIsEvil
Amerika
Ulizi umeimarisha #CapitolHill kwa mujibu wa wachambuzi wa mambo ya ulinzi na historia, Ulinzi unaonekana hivyi sasa ktk eneo hilo haujawahi kutokea na ni ishara ya hali ilivyo ya hatari.
FACT: The Clock Tower in Arusha Tanzania is regarded as the central point of Africa.
The clock tower stands exactly at the middle of Africa between Cape Town in South Africa and Cairo in Egypt.
It was built in the 1950s.
Being a part of a Legendary movie like โComing 2 Americaโ, was life changing! We all watched this growing up and to be embraced and surrounded by black excellence is so inspiring. Canโt wait for you all to see this masterpiece. #march5th2021
Pia kwenye utawala wa #realDonaldTrump alimteua kuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ya Marekani na baada ya siku 10
akufukuzwa kazi, swali la kujiuliza ni Evil yupi huwa anazungumzwa na viongozi wa Marekani? Je hawa wanaojaribu kumzuia Evil huyu wao ni kina nani?
Wanawakilisha maoni ya kina nani ambao wanamuogopa Evil, ambaye hapo kabla hata Trump aliwahi kusema anapambana na Evil kabla ya kuzidiwa nguvu na COVID-19 na leo hii hadharani kabisa kwenye vyombo vya habari uwito unatolewa wa Trump kukamatwa na kuwekwa jela je ni makosa gani?
Kutoka "axis of evil" mpaka "raw evil"
Wakati fulani kuna maneno ukiyasikia unapaswa kujiuliza na kuyachukulia kwa uzito wa wale wanaoyazungumza, wasiofahamu huyu anaitwa @AnthonyScaramucci ni mfanyabiashara maarufu nchini Marekani.
Mwanzo wakati habari hizi zikijadiliwa na kupigiwa kelele na vyombo habari vya Magharibi vikiongozwa na Marekani mtazamo wetu tuliamini kabisa kuwa ni mbinu za #wakoloni kuishambulia #China kwa mafanikio yake kiuchumi mtazamo huu uliimarishwa zaidi baada ya kuibuka kwa covid19
HivyiPunde๐ฏ
Raisi mteule @JoeBiden amemtaka @realDonaldTrump kwenda kwenye kituo cha TV kuwatangazia wafuasi wake waondoke kwenye jengo la bunge la nchi hiyo๐ณ
WanaharakatiTz na wale tunaopenda ku RT kila kitu hili ni funzo si kila kitu ni siasa si kila jambo ni la kukimbilia kuilaumu serikali wakati mwingine vyombo vya dola vinafanya kazi ngumu na za hatari kuhakikisha usalama wetu na nchi kwa jumla
#ChangeTanzania@ChangeTanzania
Wale watetezi waliokuwa wanasema huyu #ZaraKay amekamatwa kwa kutetea "haki za binadamu" mbona wapo kimya hatuoni tena # ikiendelea wako wapi #wanaharakatimaslahi wako wapi? @guardian wameeleza kila kitu
Vyombo vya sheria vinapaswa kuhakikisha uchunguzi wa kitaalamu na wa haki unafanyika ili kukisafisha jina la Tanzania na serikali pamoja na heshima ya kiti cha uraisi @MagufuliJP ni mtu ila uraisi ni taasisi umkichafua yeye umkichafua Tanzania
Huyu #admini wa hili group #TeamTanzania anapaswa kusaidia uchunguzi, tunapaswa kujua kwa nini ameruhusu kufutwa kwa posti zote zinazomhusu mtuhumiwa? @TCRA_Tz mnapaswa kueleza watanzania na ulimwengu kwa ujumla hii kesi ni muhimu kwa sbb inafuatiliwa na mataifa ya nje
Wasimamizi wa kundi hilo wanapaswa kusaidia uchunguzi kwa nini wamesaidia kufutwa kwa post hizo ambazo zingesaidia kuwajua marafiki na watu wanaoshirikiana na mtuhumiwa. Haya ndio mambo ambayo raisi amekuwa akisema na wasaidizi wakimuangusha kumuachia mtu muhimu kiasi hiki
Nilijiunga kwenye hii app nikitafuta mambo kama haya, watu wanaojadili na kutufungulia mambo kwa kiwango hiki:
@tanpol wanapaswa kufuatilia hii issue kwa undani, @WizaraMNN@UhamiajiTz@MsigwaGerson @TCRA_Tz
Mnapaswa kusafisha nchi na kumwondoa raisi kwenye tuhuma
@MagufuliJP
Wale watetezi waliokuwa wanasema huyu #ZaraKay amekamatwa kwa kutetea "haki za binadamu" mbona wapo kimya hatuoni tena # ikiendelea wako wapi #wanaharakatimaslahi wako wapi? @guardian wameeleza kila kitu
Wakati mwingine, ni hamu/dhana zetu juu mtu/watu tukijiaminisha/kuhisi kuwa nao/wao wana hamu/dhana tulizonazo juu yao hutupelekea kujenga/kubakia nao kwenye uhusiano usiofaa.
Si matendo yao!
I'm (re) learning๐ช
#ReadAgain
Nothing more dangerous than a person who healed himself with the help of nobody. If you can rise up from the shit they left you in, there's no person out there who can tell you shit.
Speaking from experience.
That's the truth.
#theTribe#suguaakili#dotheimportant #2125
Makubaliano ya Eneo la Biashara Huria Bara la Afrika (AfCFTA) yataunda eneo kubwa zaidi la biashara huria ulimwenguni inayopimwa na idadi ya nchi zinazoshiriki.