DRT siyo mbovu ni nzima kuliko hata polonaona leo wamemua toka watoke ungon ni wao tuu na DWRππππ
@immakiduku shikamooooo
@psv_connect @SuperFeo_Nation @SouthernBuses@Adventure_36
NAAM WAJUMBE WA KUSINI HAWA HAPA..!
Hawa hapa wajumbe wapya waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu kukaribishwa katika familia yetu ya @SUPERFEOEXPRESS
Tutaendelea kukujuza kila tukio la wajumbe hawa watakaoelekea Songea muda mchache ujao.
The future is exciting, are you ready?
@SUPERFEOEXPRESS
Routines Mwanza - Songea
Kutoka Mwanza
Siku- Jumanne & Ijumaa
Kutoka Songea
Siku- Jumatano & Jumapili
Nauli 81,000/=
π+255 625161120 & 0757806698
Tuacheni masihara wajomba ukilidiss chungwa kanda ya ziwa utakua na upungufu wa akiliππ....
@Allys_Star_bus X #HappyNation
Location: Kongowe π₯π₯π₯π₯π₯
Dereva Imma Kiduku baada ya kufanya poa ruti ya Songea to Mwanza kwenye Super Feo Express T804 DWR sasa anahamia ruti ya Songea to Dar, aisee kila la heri mzee
Je wajua?
Mwanaume anayekabidhi kila kipato chake anachopata kwa Mwanamke na kupanga matumizi kwa pamoja hufanikiwa sana na kwa haraka zaidi.
#ElimikaWikiendi