@millardayo Huo ni ubadhilifu, makatibu waliobainika kufanya vitendo hvyo wachukuliwe hatua, nadhani Mh. Makalla ungekuja mbele ya umma na taarfa ya hatua uliyo/mliyochukua dhidi ya hao makatibu, ingesound sana.
@IAMartin_ Daaa! kwa mara ya kwanza kwa miaka yangu takriban 36 ya hapa dunian had sasa, kukaa kwny TV nikitazama na kusikiliza kesi, bila kupepesa macho huyu jamaa @TunduALissu ni hazina kubwa ya Taifa letu.
@IAMartin_ Moja ya chaguzi ngumu na hatari nilizowah kuzshuhudia, by that time nikiwa form 2 (kibasuka ss) nyumbani kwao christopher kangoye(kjj cha nyarwana kata ya kibasuka)