@NgairaM@trythisinc Natanguliza shukran Bro @NgairaM Kuna art moja ya watu wanaangalia mpira kibanda umiza kama unayo naiomba nitumie kama my wallpaper
To me that was the best art I have ever seen.
UZI..
nataka niwape chimbo la AI ili uweze kugenerate picture kama hizi ...
👉kwanza jua technologia ya AI(Artificial Intelligence) inakua siku kwa siku, sasa tulia ujifunze, kupata picha kama hizi. itakubidi uandike maneno(sentences) tu ambayo yatakusaidia kunenerate pics
@Eric__Bernard@rollymsouth Mfano tuwaze hivi... Hao wanaotetea mkataba wa Dipi wamehongwa na wanufaika wakubwa wachache wa mkataba mpya wa Dipi ili ionekane hawapigi sana Bali wanafanya kitu Cha maana kumbe....#Taburarasa
@rollymsouth Hii mbaya mpaka siku wapate ajali ndio watakuja kuzungumzia... Sina uhakika hata kama hizi gari zinatiliwa mkazo suala zima la usalama wa watoto na watumiaji wengine wa barabara
@ayubu_madenge@lexmlatino Tatizo lilianzia kwa malacia to me de gea amekuja kufanya finishing tu lakini amefanya kazi kubwa sanaaaa kuliko makosa aliyofanya