Tanzia! Tanzia!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Jimbo la Mikumi tunasikitika kutangaza kifo cha KAMANDA Mwenzetu #TISHI_CHARLES Mweka hazina BAWACHA!
May her Soul Rest In Peace!
Tangulia kwa Amani ,Kamanda Mpambanaji True Son of Africa ,kama Binadaam ulikua na Mapungufu yako kama Sisi sote lakini Ulipigania UTU ,UHURU na HAKI za Waafrika na wana Wazimbabwe.Umeondoka wakati Wana SADC wameungana kwa kauli MOJA kutaka Vikwazo Dhidi ya Zimbabwe Vinaondolewa
I'm saddened by the passing of our founding father President Robert Gabriel Mugabe. His contribution to the liberation of Africa is momentous and will never be forgotten. Regardless of the errors and tribulations during this reign in Zimbabwe, he still is our hero. @edmnangagwa
Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya #SADC_JPM tunaomba Kusikia Kauli yako dhidi ya Vurugu Zilizoripotiwa Kutokea A.Kusini, Zikihusisha Ubaguzi wa Rangi dhidi ya Waafrika Waishio Nchini humo!
Mtu anayedhaniwa kuwa ni waziri @HKigwangalla amesema yeye angemkuta Haidaya na Wenzake wakiwinda twiga msituni angewaua . Kijana huyu mwenye jeuri anaona kuwa uhai wa wanyama ni mhimu zaidi kuliko binadamu...... Cc. @humanrightstz#ChangeTanzania
Waziri H Kigwangala,nani amekuambia kuwa maisha ya twiga yana thamani kuliko binadamu?ata ukataka kuua mtu kwa ajili ya kulinda uhai wake?Ben Saanane,Azzory Gwanda hawajulikani waliko na Mh Lissu alishambuliwa kwa risasi wala ukusema neno.Acha kulinda tumbo kwa kuharibu utu wako
Darest South Africans how can you harass to kill your dearest African brothers and sisters? Is it civilization?
Who spelled you?
Apart from fighting for your independence, in Tanzania we still protect your graveyard at Mazimbu...COME TO YOUR SENSES PLEASE!
#SayNoToXenophobia
Inabidi kama Taifa tuendelee na tuongeze nguvu katika mjadala mpana wa haki na ulinzi wa waandishi wa habari! Yaani katiya 10, wawili ni watanzania wenzetu!
Hatuwezi kukaa kimya
#FreeErickKabendera#Justice4Azory#ChangeTanzania
Leo Mheshimiwa Raisi kathibitisha mbele ya hadhara kwamba huwa anadukua mawasiliano ya viongozi wenzake na kwa maana hiyo anatuthibitishia kwamba sasa Yeye ni yote katika yote na atakalokulifanya hakuna wakumzuia,, nachelea kusema kwamba hatuko huru sisi,tumepokwa uhuru mchanaaa
WATENDAJI WA KATA nchi nzima watakuwa kwenye viwanja vya ikulu Jijini Dar es Salaam na ili Rais wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM aweze kuongea nao.
Siku chache zijazo tutaingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa nchi nzima.
Loading.......................
Kama ambavyo kifo ni hakika kwa kila kiumbe ndivyo ambavyo mwisho wa kila jambo ni hakika pia! Mwisho wa wema ni fahari na mwisho wa ubaya ni aibu! Mungu hadhihakiwi!